Back to home

KENHA imefunga Barabara ya Marigat-Chemolingot

video
August 22, 2025
2d ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Kufuatia taarifa iliyoangaziwa na runinga ya citizen kuhusu kuzama wa barabara ya Marigat kuelekea Chemolingot na Loruk, mamlaka ya barabara kuu - kenha imechukua hatua na kufunga barabara hiyo...