Back to homeWatch Original
Mtu mmoja aokolewa baada ya kuzama Pate, Lamu
video
August 25, 2025
6d ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Wakazi wa Kisiwa cha Amu kaunti ya Lamu wanalilaumu shirika la usalama wa baharini KMA wakidai limesusia kuwatafuta wanaume wawili waliozama baharini katika Kisiwa cha Pate siku nne zilizopita..