Back to homeWatch Original
Zogo la steni Nyeri | Mgomo wa wahudumu wa matatu wavuruga shughuli za uchukuzi Nyeri
video
August 25, 2025
5h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Shughuli za uchukuzi na hata biashara zilitatizika mjini Nyeri mapema leo kufuatia mgomo wa wahudumu wa matatu, wanaolalamikia agizo la serikali kuwataka kuhamia sehemu nyingine ya kuegesha magari yao. Wahudumu hawa wakidinda kuhamia steji ya Field Marshal Muthoni Kirima, wakisem..