Back to homeWatch Original
Wakazi wa Kawap Samburu Kaskazini wahofia usalama wao
video
August 29, 2025
2h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Wakazi wa kata ya Kawap Samburu Kaskazini, wamelalamikia ongezeko la utovu wa usalama tangu kuondolewa Kwa maafisa wa polisi wa akiba waliokuwa wakipiga Kambi eneo hilo. sasa wameirai serikali kuwarejesha maafisa hao kuendelea kushika doria..