Back to home

Mudavadi azitaka hospitali kuwacha kupaka serikali tope

video
August 29, 2025
3h ago
N
NTV Kenya (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Ufanisi wa SHA umeendelea kuwa mjadala mkubwa. Mkuu wa baraza la mawaziri Musalia Mudavadi amezitaka hospitali kuwacha kupaka serikali tope kwa madai kuwa serikali haijalipa pesa zao za sha. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by..