Back to home

Viongozi wa Kiislamu Kaunti ya Kilifi waitaka baraza la SUPKEM kuandaa uchaguzi wa kitaifa mara moja

video
August 29, 2025
2h ago
N
NTV Kenya (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Viongozi wa Kiislamu katika Kaunti ya Kilifi wameitaka Baraza Kuu la Waislamu wa Kenya (SUPKEM) kuandaa uchaguzi wa kitaifa mara moja, wakisema mvutano wa uongozi unaoendelea unadhoofisha baraza hilo . Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday ..