Back to homeWatch Original
Idara ya watoto yazindua mradi wa kuwapa mafunzo watoto
video
August 29, 2025
2h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Idara ya huduma kwa watoto imezindua mpango wa uwekaji umeme wa nishati ya jua ambao utasaidia zaidi ya watoto 90 ambao wako katika mchakato wa kurekebishwa tabia katika shule iliyoidhinishwa ya Kabete ili kuungana na jamii vyema baada ya kuachiliwa kurudi nyumbani..