Back to homeWatch Original
Familia moja yajawa na majonzi baada ya jamaa wao kupotea kwa njia tatanishi kwa siku 21
video
August 29, 2025
2h ago
N
NTV Kenya (Youtube)
News Channel
About this video
Familia moja kutoka Mlolongo mtaa wa Mulinge Phase 4 kaunti ya Machakos imejawa na majonzi baada ya jamaa wao kupotea kwa njia tatanishi kwa siku 21 sasa. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates..