Back to home

Wahudumu wa afya wanaofanya kazi mipakani waibua wasiwasi kuhusu visa vya ugonjwa wa kifua kikuu

video
August 29, 2025
2h ago
N
NTV Kenya (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Wahudumu wa afya wanaofanya kazi katika mipaka ya Kenya, Tanzania na Uganda sasa wameibua wasiwasi kuhusu visa vya ugonjwa wa kifua kikuu mipakani huku wakihusishwa na idadi kubwa ya wagonjwa wa kifua kikuu ambao hupotea baada ya kutafuta msaada wa kiafya Subscribe and watch NTV..