Back to homeWatch Original
Mamia ya wasafiri walikesha barabarani Gilgil
video
August 29, 2025
2h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Mamia ya wasafiri wanaotumia barabara kuu ya Nakuru kuelekea Nairobi walitatizika kwa zaidi ya saa kumi na mbili kufuatia msongamano wa magari ulioanza alhamisi. Kulingana na mamlaka ya barabara kuu -KeNHA, msongamano huo ulisababishwa na ongezeko la magari kwenye barabara hiyo p..