Back to home

Viongozi wa kanisa Katoliki waitaka serikali kukaza kamba kupambana na ufisadi

video
September 1, 2025
2d ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Baadhi ya viongozi wa kidini kutoka bonde la ufa kaskazini wameendelea kulaanı visa vya ufisadi vinavyoshuhudiwa humu nchini huku wakitoa wito kwa kila moja kuunga mkono vita dhidi ya uhalifu huo.. Viongozi hao walikuwa wakizungumza mjini Kapsabet baada ya kuongoza misa ya kwanz..