Back to homeWatch Original
Mdahalo wa uhamisho wa ununuzi mtandaoni waendelea
video
September 2, 2025
7h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Gavana wa Murang'a, Irungu Kang'ata na Seneta wa Kitui, Enoch Wambua, wamehimiza Hazina ya Kitaifa kuharakisha utekelezaji wa mfumo wa ununuzi wa bidhaa na huduma kupitia mfumo wa kidijitali ili kutoa fedha kwa serikali za kaunti..