Back to home

Serikali yasambaza chakula cha msaada Mbeere Kusini na Mwea

video
September 2, 2025
2d ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Takribani shule 200 za umma katika Kaunti Ndogo za Mbeere Kusini na Mwea, Kaunti ya Embu, zimepokea chakula cha msaada kutoka Serikali ili kuwasaidia wanafunzi kukabiliana na athari za ukame wa muda mrefu. Mgao huo, uliosimamiwa na Waziri wa Utumishi wa Umma Geoffrey Ruku, umejum..