Back to homeWatch Original
Serikali ya kaunti yasambaza maji ya mifereji kwenye maboma
video
September 4, 2025
12h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Ni afueni kwa zaidi ya familia 10,000 katika kaunti ya vihiga baada ya serikali ya kaunti hiyo kuwasambazia maji ya mifereji kwenye maboma yao kwa kipindi cha miaka mitatu iliyopita. Akizindua baadhi ya miradi hiyo ya maji kwa wakazi wa vihiga gavana wa kaunti hiyo dkt. Wilber ot..