Back to homeWatch Original
Serikali ya Kaunti imeanza rasmi utoaji wa chanjo ya MPOX
video
September 3, 2025
1d ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Serikali ya kaunti ya Busia imezindua rasmi zoezi la chanjo ya virusi vya mpox kwa watu walio katika hatari ya maambukizi ya virusi hivyo katika kaunti hiyo ya mpakani mwa kenya na uganda. Wito umetolewa kwa wenyeji kujihadhari zaidi dhidi ya maambukizi ya virusi hivyo kwa kuzing..