Back to homeWatch Original
Wauguzi wa kaunti ya Machakos wameanza mgomo rasmi
video
August 8, 2025
1w ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Wagonjwa wanaotafuta huduma za matibabu katika kaunti ya Machakos sasa wataabika zaidi, baada ya wauguzi katika kaunti hiyo kuanza rasmi mgomo wao usiku wa kuamkia leo..