Back to homeWatch Original
Wauguzi wa kaunti ya Busia wameanza mgomo leo
video
August 8, 2025
1w ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Kwingineko shughuli za matibabu zinatarajiwa kutatizika pakubwa baada ya wauguzi katika kaunti ya Busia kuanza mgomo wao saa sita usiku wa kuamkia leo wakilalama kuwa serikali ya kaunti imeshindwa kuangazia masaibu yao..