Back to home

Matumizi Ikulu: Kadi Ksh800M, ukarabati Ksh400M, jumla zaidi ya Ksh11B

video
September 2, 2025
6h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Afisi ya rais william ruto ilitumia shilingi milioni 800 katika mwaka wa kifedha uliopita kuchapisha stakabadhi za afisi yake.ripoti ya mdhibiti wa bajeti margaret nyakang’o pia imeonyesha kwamba ikulu ya nairobi ilitumia shilingi milioni 400 katika mwaka huo, kukarabati na kut..