Back to homeWatch Original
Kilio Cha Mayatima Nyamira: Familia yalia vifo vya watu wanne
video
September 4, 2025
2d ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Familia ya watu wanne walioteketezwa ndani ya nyumba yao katika kijiji cha Nyamakoroto huko Nyamira inapitia changamoto nyingi huku Watoto walioachwa Mayatima wakipitia wakati mgumu. Majirani wanaitaka idara ya usalama kuharakisha uchunguzi na kuwakamata wahusika ili wapate haki...