Back to home

Polisi huko Kitale waanza msako dhidi ya makundi ya wahalifu

video
September 5, 2025
2d ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Taharuki imetanda mjini Kitale, baada ya Kamati ya Usalama ya Kaunti ya Trans Nzoia kutaja majina ya washukiwa 57 wanaotafutwa na polisi kwa tuhuma za kuhusika na wizi wa kimabavu katika maeneo ya Matisi na Tuwan. Magenge haya yamekuwa yakizunguka mitaani yakiwa na mapanga na sil..