Back to home

Shule ya wanafunzi wenye ulemavu ya Kabarnet yapewa msaada

video
September 5, 2025
3h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Kamanda wa Polisi wa Kaunti ya Baringo, Julius Kiragu, akiandamana na maafisa wengine wa polisi, walitoa msaada wa vyakula na bidhaa mbalimbali kwa Shule ya Kabarnet ya wanafunzi wenye ulemavu wa macho na kusikia...