Back to home

Njaa yatishia watu milioni 2 kaskazini Kenya

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 9, 2025
6h ago
Takribani watu milioni mbili tayari wanakabiliwa na ukosefu mkubwa wa chakula nchini, huku maelfu ya watoto wakiwa kwenye hatari ya ugonjwa wa utapiamlo kutokana na ukosefu wa chakula. Ripoti ya hivi punde ya hali ya chakula nchini ambayo imetolewa na shirika la kutathmini utoshe