Back to home
Familia nane zaathirika Ndhiwa kufuatia kimbunga kikali
video
C
Citizen TV (Youtube)September 10, 2025
4h ago
Familia nane zimeachwa bila makaazi baada ya nyumba zao kuangushwa na upepo mkali katika eneo la ndhiwa katika kaunti ya Homa bay.