Back to homeWatch Original
Familia za waathiriwa Shakahola bado zinalia
video
August 30, 2025
11h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Zaidi ya miaka miwili tangu mauaji ya halaiki katika msitu wa Shakahola huko Malindi, familia za waathiriwa bado zimesalia na makovu na uchungu mwingi. Baadhi ya familia hizo hazijapata majibu hadi sasa kuhusu wapendwa wao waliotoweka au kuweza kuwazika. Familia hizo sasa zinaila..