Back to home
Wakulima katika kaunti ya Migori watakiwa kujiunga na vyama vya ushirika
video
C
Citizen TV (Youtube)September 11, 2025
3h ago
Serikali ya Kaunti ya Migori, kwa ushirikiano na Mradi wa Kitaifa wa Kukuza Thamani ya Kilimo (NAVCDP), inakuza uzalishaji katuika sekta ya kilimo kwa kusaidia shirika la wakulima kupitia ruzuku.