Back to home
Wahudumu wa bodaboda mjini Nanyuki walalamika
video
C
Citizen TV (Youtube)September 11, 2025
3h ago
Wahudumu wa bodaboda mjini nanyuki wanaomiliki pikipiki zinazotumia stima wamelalamikia kulaghaiwa na mwanabiashara mmoja aliyewauzia pikipiki hizi kwa njia ya mkopo ingawaje alichokiahidi hakitimiliki.