Back to home
Jamii yahamasishwa kuhusu kuripoti dhuluma Maralal
video
C
Citizen TV (Youtube)September 11, 2025
2h ago
Swala la wanaume kutoripoti visa vya kudhulumiwa kwenye ndoa, limetajwa kuchangia ongezeko ya visa hivyo katika jamii za wafugaji. Wadau wakiwataka wanaume kujitokeza na kuzungumzia madhila yanayowafika. Mwanahabari wetu Bonface Barasa anaarifu zaidi kutoka Samburu.