Back to home

Miaka mitatu ya Ruto: Lawama za ukiukaji wa haki

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 11, 2025
2h ago
Hali ya haki za kibinadamu nchini imeendelea kudorora huku serikali ikilaumiwa kwa kufumbia macho ukatili unaoendelzwa na asasi za usalama. Idadi ya waliouwawa na kutekwa nyara katika miaka mitatu ya uongozi wa rais william ruto imeliweka taifa miongoni mwa nchi zinazoorodheshwa