Back to home

Miaka mitatu ya Ruto: Waandamanaji bado wanaumia

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 11, 2025
2h ago
Waathiriwa wa maandamano dhidi ya mswada wa fedha mwaka uliopita pamoja na maandamano ya sabasaba, bado wameathirika pakubwa kufuatia majeraha waliopata na makovu waliosalia nayo. Baadhi yao bado wanahofia usalama wao huku wakiendelea kupokea matibabu na ushauri nasaha nyumbani.