Back to home

Wakazi wafunga barabara ya Misikhu-Webuye, Bungoma

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 12, 2025
3h ago
Shughuli za uchukuzi na usafiri kwenye barabara kuu ya kutoka misikhu kuelekea webuye zilitatizika kwa muda wa saa tano baada ya wakazi wa soko hilo kuandamana na kufunga barabara hiyo.