Back to home

Walemavu zaidi ya 200 wapewa viti vya magurudumu Makueni

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 12, 2025
3h ago
Ni afueni kubwa kwa watu zaidi ya 200 wanaoishi na ulemavu kaunti ya makueni baada ya kupata viti vya magurudumu kutoka kwa shirika la hope mobility Kenya kwa ushirikiano na serikali ya kaunti hiyo . Aidha wazazi wameshauriwa kutowaficha watoto wenye ulemavu ili waweze kupata msa