Back to home

Watetezi wa haki Mombasa wasema magenge ya wahalifu yamechipuka

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 12, 2025
3h ago
Mashirika ya kutetea haki za kibinadamu kaunti ya Mombasa yanaitaka serikali kudhibiti hali mbaya ya usalama nchini wanayosema inaathri hata uchumi wa taifa.