Back to home

Mwanablogu aliyetekwa nyara Mombasa adaiwa kuvunja kanuni

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 11, 2025
1d ago
Kitengo cha ulinzi wa mashahidi nchini kimekana madai ya kumtelekeza mwanablogu anayedai kutekwa nyara na kisha kulawitiwa. Kulingana na idara hiyo, mwanablogu huyo alivunja baadhi ya masharti mara tatu ikiwemo kukusanya pesa akidai mzazi wake amefariki na kutumia mitandao ya kij