Back to home
Wakazi wa Kamailel Baringo walalamikia ubovu wa barabara
video
C
Citizen TV (Youtube)September 12, 2025
2h ago
Wakazi kutoka Kijiji cha Kamailel katika Kata ya Mochongoi eneo mbunge ya Baringo Kusini wameandamana wakilalamamikia ubovu wa barabara kutokana na mvua kumbwa inayonyesha eneo hilo.