Back to home
Serikali yatoa mafunzo ya kidijitali kaunti ya Kajiado
video
C
Citizen TV (Youtube)September 12, 2025
2h ago
Katika Kaunti ya Kajiado, programu ya mafunzo ya ujuzi wa kidigitali inayoendeshwa na serikali imeendelea kuwapa nafasi vijana kujifunza mbinu za kuuza bidhaa na kutoa huduma kupitia mtandao.