Back to home
Viongozi wa kisiasa katika Kaunti ya Isiolo watoa wito wa kudumisha amani
video
N
NTV Kenya (Youtube)September 12, 2025
2h ago
Viongozi wa kisiasa katika Kaunti ya Isiolo wametoa wito wa kudumisha amani na kuvumiliana kisiasa kufuatia jaribio la kumwondoa mamlakani Gavana Abdi Guyo ambayo ilitupiliwa mbali na Seneti katika hatua za mapema .
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today