Back to home
Hazina ya fedha ya watu wanaoishi na ulemavu kutia saini kandarasi ya kuendleza miradi ya ujenzi
video
N
NTV Kenya (Youtube)September 12, 2025
2h ago
Wanafunzi wanaoishi na ulemavu katika tasisi mbalimbali nchni wamepata afueni baada ya hazina ya fedha ya watu wanaoishi na ulemavu kutia saini kandarasi kuendleza miradi ya ujenzi katika tasisi hizo.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday