Back to home

Rais Ruto azidi kukosoa upinzani dhidi ya siasa za mgawanyiko

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 12, 2025
2h ago
Rais William Ruto amewaonya viongozi wa upinzani dhidi ya kueneza siasa za ukabila nchini. Akiwahutubia viongozi wa mashinani kutoka kaunti ya Muranga, rais Ruto amesema serikali yake iko mbioni kutimiza ahadi ilizotoa na kuwa hana muda wa mzozo wa kisiasa na upinzani. Haya ni hu