Back to home
Ruto @ 3 : Hazina ya 'Hasla'
video
C
Citizen TV (Youtube)September 12, 2025
2h ago
Hazina ya hasla ilizinduliwa ili kuwapiga jeki wananchi wa mapato ya chini na wafanyibiashara wadogo kujiinua kiuchumi. Ni mojawapo ya ajenda kuu za Rais William Ruto ambaye aliwaahidi wananchi kuwa ataweka mpango wa kuwainua kimapato. Miaka mitatu tangu hazina ya hasla kuzinduli