Back to home

Radio Citizen yashirikiana na waumini Kawangware kuhamasisha lishe bora

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 14, 2025
2h ago
Watangazaji wa Radio Citizen walijumuika na waumini wa Kanisa la Kisima, mtaani Kawangware, kwa ibada ya Jumapili. Kampuni ya Royal Media Services kwa ushirikiano na Joy Millers, watengenezaji wa unga wa Raha Premium, waliendeleza msururu wa mikutano na wasikilizaji wao mashinani