Back to home
Gavana wa Nairobi aongoza wafanyakazi kusafisha jiji
video
C
Citizen TV (Youtube)September 15, 2025
1h ago
Gavana wa Nairobi , Johnson Sakaja aliongoza kundi la wafanyakazi wa usafi wa jiji la Nairobi maarufu Green Army kwenye zoezi la kusafisha mitaa ya jiji hili.