Back to home
Serikali za kaunti zageukia mfumo wa taa za sola ili kupunguza bili za stima
video
N
NTV Kenya (Youtube)September 15, 2025
4h ago
Huku afisi ya mkaguzi wa serikali ikiendelea kuandama kaunti kwa matumizi mabovu ya kawi, ada za juu za umeme na gharama ya kuweka taa za mitaa,baadhi ya magatuzi sasa yameafikia mfumo wa taa za sola ili kupunguza bili za stima.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Ken