Back to home

Wananchi walalamikia mienendo ya Polisi

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 16, 2025
3h ago
Maafisa wakuu wa usalama nchini , wakiwemo waziri wa usalama wa ndani na katibu mkuu wa wizara hiyo, waliwekwa kwenye mizani kuhusu kuzorota kwa imani kati ya wananchi na maafisa wa polisi. Ni hali iliyojitokeza wazi wakati wa kikao cha majadiliano kuhusu hali ya usalama nchini,