Back to home
Msimamizi wa bajeti Nyakang'o asema kaunti hazijaidhinishwa
video
C
Citizen TV (Youtube)September 18, 2025
11h ago
Msimamizi wa bajeti Margaret Nyakango sasa anasema kuwa kaunti zote nchini zimekuwa zikiendesha akaunti za benki ambazo hazijaidhinishwa. Nyakango akisema kuwa, kuna kaunti kama vile ile ya Homa Bay ambayo inaendeshazaidi ya akaunti 500 za benki. Kwa jumla, kaunti hizi zimeandiki