Back to home

Zaidi ya wanafunzi 50,000 hewa wamekuwa wakipata shilingi elfu 15,000

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 18, 2025
11h ago
Katibu wa Elimu ya Msingi Julius Bitok amefichua kwamba zaidi ya wanafunzi elfu 50,000 hewa wamekuwa wakifaidi mgao wa serikali wa shillingi elfu 15,000. Bitok amesema kuwa uchunguzi unaoendelea umefichua kwamba Idadi ya wanafunzi hawa iliongezwa katika baadhi ya shule akifichua