Back to home
Wahudumu wa afya katika kaunti ya Nairobi wameanza mgomo wao rasmi leo
video
C
Citizen TV (Youtube)September 18, 2025
3h ago
Wahudumu wa afya katika kaunti ya nairobi wameanza mgomo wao rasmi leo wakilalamikia mishahara ya mwezi wa agosti ambayo haijalipwa pamoja na kutowasilishwa kwa makato ya miezi mitatu iliyopita.