Back to home

Watu wawili wafariki na wengine saba kujeruhiwa katika ajali barabarani Migori

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 18, 2025
3h ago
Watu 2 wamepoteza maisha yao huku Wengi 7 wakijeruhiwa kwenye ajali ya barabarani iliyohusisha gari aina ya probox na Lori katika daraja la Nyametembe kaunti ndogo ya kuria Mashariki