Back to home

Ripoti ya msimamizi bajeti Margaret Nyakang'o yasema safari zimezidi

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 19, 2025
1h ago
Msimamizi wa bajeti za serikali Margaret Nyakang’o aliibua maswali kuhusu safari nyingi za waakilishi wadi na serikali za kaunti. Ripoti yake ikionyesha ubadhirifu mkubwa wa mali ya umma kwenye safari hizo, ambazo nyingi hazina umuhimu kwa mlipa ushuru. Na kama anavyoarifu emma