Back to home

Umoja wa jamii ya Wateso

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 19, 2025
2h ago
Viongozi wa Utamaduni wa jamii ya Iteso wamemtaka mbunge wa Teso Kaskazini Oku Kaunya kukoma kudunisha umoja na utangamano wa jamii hiyo kwa kuandaa hafla inayokusudia kumuidhinisha kama msemaji wa jamii pana ya Teso