Back to home
Kizazaa cha Siasa Malava
video
C
Citizen TV (Youtube)September 19, 2025
3h ago
Mzozo ulishuhudiwa kaunti ya Kakamega kufuatia tofauti za wagombea kiti cha ubunge cha Malaba. Tofauti zilidhihirika baada ya Mgombea Caleb Burudi, kuzuiwa kuhutubia kikao cha wanahabari baada ya kutangazwa rasmi kwa mpinzani wake Seth Panyako, kuwa mgombea wa chama cha DAP - K k